Viongozi wanne wa ACT mkoa na taifa wakamatwa
Viongozi wanne wa Chama cha ACT Wazalendo akiwemo Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mawasiliano kwa Umma Taifa Ado Shaibu, wamekamatwa na Jeshi la Polisi Wilayani Temeke kwa kile kilichoelezwa walikuwa wanafungua matawi bila kuwa na kibali.

