Hatma ya viongozi wa watatu wa Upinzani
Baada ya kushikiliwa kwa zaidi ya masaa 48 katika kituo cha polisi cha Chang'ombe, viongozi watatu wa ACT - Wazalendo, akiwemo Katibu wa Kamati ya Uadilifu, Mbarala Maharagande na mwandishi wa habari wa Gillybony TV, Haruna Mapunda, hatimaye leo Agosti 26 wamepatiwa dhamana.