Kenya : Watanzania mbaroni wakijifanya walemavu Jeshi la Polisi Kenya linawashikilia Watanzania 6 kwa tuhuma za kufanya shughuli za ombaomba eneo la Makueni, lilipo Mashariki mwa nchi hiyo. Read more about Kenya : Watanzania mbaroni wakijifanya walemavu