Chanzo cha kifo, mtoto aliyekanyagwa na bomba

Kamanda Polisi Mkoa wa Tabora, Barnabas Mwakalukwa

Mtoto mmoja mwenye umri wa miaka 9 ambaye ni mwanafunzi wa Darasa la tatu katika Shule ya Msingi Kiyungi iliyopo Manispaa ya Tabora mkoani Tabora, amefariki dunia mara baada ya kuangukiwa na bomba kubwa la maji huku mwingine akijeruhiwa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS