Lulu azungumzia wasanii kutojali mkutano wa Waziri
Msanii wa filamu, Elizabeth Michael maarufu kama Lulu ametoa neno juu ya wasanii waliokosekana kwenye mkutano wa pamoja wa wasanii wa filamu, muziki na sanaa zingine na Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe.