Waziri kuwachukulia hatua wanaotoa mimba hivi
Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto Dkt Faustine Ndugulile, amesema Serikali itahakikisha inakomesha uuzaji holela wa dawa mbalimbali, hususani zile zinazotengenezwa kwa ajili ya matumizi mazuri na kugeuzwa kuwa ni za kutolea mimba.