Azam waogope hiki kutoka kwa Triangle United Mchezo wa Azam FC dhidi ya Triangle United Kocha wa klabu ya Triangle United, Taurai Mangwilo ametaja kitu kimoja kikubwa ambacho anajivunia katika klabu yake na kitakachowasaidia kusonga mbele kwenye mchezo wa marudiano. Read more about Azam waogope hiki kutoka kwa Triangle United