Kauli ya kwanza ya JPM, Lissu kukosa Ubunge Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametoa kauli ya kwanza, tangu kuchaguliwa kwa Mbunge wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu ambaye amechukua nafasi ya Tundu Lissu. Read more about Kauli ya kwanza ya JPM, Lissu kukosa Ubunge