Alichokisema Prof Jay kuhusu kauli ya Paul Makonda
EATV & EA Radio Digital leo, tumezungumza na Mbunge anayesimamia watu na wanyama katika jimbo la Mikumi Mh. Prof Jay, ambapo ametoa maoni kuhusu kauli ya mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mh. Paul Makonda kuwa watumishi wa Mungu wahubiri hadi kwenye kumbi za starehe.

