Magufuli amtumbua DC na DED
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, ametengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Malinyi Mkoani Morogoro Majura Mateko Kasika, na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi Mussa Elias Mnyeti.

