Askofu Gwajima aungana na RC Makonda
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Josephat Gwajima, ameunga mkono kauli ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda, iliyowaomba viongozi wa dini kwenda kutoa mahubiri nyakati za usiku katika kumbi mbalimbali za starehe.

