Kisa Mil. 1, wahukumiwa kunyongwa hadi kufa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Mbeya imewahukumu kifungo cha kunyongwa mpaka kufa watu 3, Nathani Elias (31), Moses Kasitu (26) na Eliasi Mzumbwe (23), baada ya kukutwa na hatia ya kuua kwa kukusudia. Read more about Kisa Mil. 1, wahukumiwa kunyongwa hadi kufa