Prof Jay aeleza kuhusu msiba mweka hazina Mikumi
Jimbo la Mikumi kupitia Mbunge Joseph Haule maarufu kama Prof Jay imethibitisha kufariki kwa Mweka Hazina wao wa Baraza La Wanawake wa CHADEMA Jimbo la Mikumi, Tishi Charles ambaye amefariki leo Septemba 7, 2019.