"Mimi ni binadamu na nina dhambi zangu" - Jay Dee Lady Jay Dee Dada mkuu wa Bongo Fleva Komando Lady Jay Dee, amefunguka suala la wasanii kudanga, kulinda hadhi yake, maudhi ya watu na matabaka kwa wasanii wa kike. Read more about "Mimi ni binadamu na nina dhambi zangu" - Jay Dee