Julio amkana Manula mbele ya Kaseja
Mchezaji wa zamani wa klabu ya Simba, Jamhuri Kihwelo 'Julio' amesema kuwa anakubaliana na maamuzi ya Kaimu Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Ettiene Ndayiragije kutomjumuisha golikipa Aishi Manula kwenye kikosi cha Taifa Stars.

