IGP Sirro afanya mabadiliko kwa RPC IGP Simon Sirro Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, amefanya mabadiliko ya kikazi kwa Makamanda wakuu wa Mikoa minne hapa nchini. Read more about IGP Sirro afanya mabadiliko kwa RPC