Spika awataka Wabunge wakae 'miaka 45' Bungeni Spika wa Bunge la Tanzania Job Ndugai, amemualika Bungeni Mbunge aliyekaa kwa muda mrefu jimboni kwa miaka 45, Chrisant Majiyatanga Mzindakaya na kuwataka Wabunge wote waige mfano wake. Read more about Spika awataka Wabunge wakae 'miaka 45' Bungeni