"Billnass anaidhalilisha Kinondoni' - Idris Idris na Billnass Muigizaji na mchekeshaji Idris Sultan, amepiga stori na EATV & EA Radio Digital, kuhusu suala la utani wake kwa rapa Billnass na kutaka kupigwa na msanii wa filamu Ray. Read more about "Billnass anaidhalilisha Kinondoni' - Idris