Afanyiwa sherehe baada ya kupotea kwa miaka 51 Mzee Francis Muthua Chege. Mzee wa miaka 81 aitwaye Francis Muthua Chege, amerudi nyumbani baada ya kupotea kwa miaka 51 akiwaacha mke wake na watoto sita katika kijiji cha Ikumbi nchini Kenya. Read more about Afanyiwa sherehe baada ya kupotea kwa miaka 51