Ahukumiwa kunyongwa kwa kuuwa na kuiba nyeti
Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Mbeya imemuhukumu kunyogwa mpaka kufa kijana Amani Kalinga (21), Mkazi wa Kijiji cha Mpanda Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe, baada ya kukutwa na hatia kwa kosa la kuuwa kwa kukusudia.

