"Mchenga hatuwaachi safari hii" - Flying Dribblers Flying Dribblers Timu ya Flying Dribblers imejipigia kifua kuwabwaga mabingwa watetezi wa michuano ya Sprite Bball Kings 2019, Mchenga Bball Stars kuelekea nusu fainali ya michuano hiyo wikiendi hii. Read more about "Mchenga hatuwaachi safari hii" - Flying Dribblers