Mtoto aliyepotea kwa siku 31, amtaja mjomba
Mtoto Neema Nurdin (8) mkazi wa Kijiji cha Msijute Wilayani Mtwara, aliyedaiwa kupotea katika mazingira ya kutatanisha kwa siku 31 na kurejeshwa nyumbani kwao Septemba 18, amemtaja mtu aliyemrudisha kuwa ni mjomba.

