Bumbuli kuhusu mgawanyo wa kazi kati yake na Nugaz

Picha ya kushoto, Hassan Bumbuli (katikati) akiwa na Katibu Mkuu wa TFF, Wilfred Kidao (kushoto) na mdau wa soka.

Afisa Habari mpya wa Yanga, Hassan Bumbuli amesema kuwa hakutakuwa na mgongano wa majukumu kati yake na Afisa Mhamasishaji wa klabu hiyo, Antonio Nugaz.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS