Polisi yazungumzia fujo za klabu za soka, Mwanza

Kamanda Jumanne Murilo

Kamanda wa Polisi mkoani Mwanza, Jumanne Murilo amezungumzia juu ya fujo zilizotokea leo katika Uwanja wa Nyamagana jijini Mwanza baina ya Kagera Sugar na mashabiki wa timu ya Alliance.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS