Rais Magufuli amtumbua Mkuu wa Mkoa Rais Magufuli na aliyekuwa Mlkuu wa Mkoa wa Morogoro Stephen Kebwe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amemteua Lowata Sanare kuwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, akichukua nafasi ya aliyekuwa mkuu wa mkoa huo Stephen Kebwe. Read more about Rais Magufuli amtumbua Mkuu wa Mkoa