Neno la Fatma Karume baada ya kusimamishwa uwakili
Wakili wa kujitegemea Fatma Karume amesema amepokea taarifa za kusimamishwa Uwakili Tanzania Bara, na Jaji Kiongozi Eliezer Feleshi, huku mwenyewe akisema hajui sababu iliyomfanya mpaka asimamishwe uwakili Tanzania Bara.

