Serikali yakiri kudaiwa na wakulima wa Korosho Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga, amesema bado Serikali inadaiwa na Wakulima wa Korosho Shilingi Bilioni 50, kufuatia kununua Korosho katika msimu uliopita, kufuatia kuibuka kwa sintofahamu ya uuzaji. Read more about Serikali yakiri kudaiwa na wakulima wa Korosho