Zahera ataja sababu ya kumtema Balinya Kocha Mwinyi Zahera na Juma Balinya Kocha Mkuu wa klabu ya Yanga, Mwinyi Zahera ameitaja sababu kubwa ya kumuacha mshambuliaji Juma Balinya kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza wa Klabu Bingwa Afrika dhidi ya Zesco. Read more about Zahera ataja sababu ya kumtema Balinya