Pwani: Alipuliwa na Bomu kwenye vyuma chakavu

Hali ya taharuki imejitokeza katika eneo la Msangani, Wilaya ya Kibaha, Mkoa wa Pwani kufuatia mlipuko mkubwa wa kitu kinachodhaniwa kuwa ni bomu na kusababisha kifo cha mtu mmoja mtu mmoja aliyetambulika kwa jina la Mbaraka Koromera mwenye umri wa miaka 37.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS