Kinachoendelea kambi ya timu ya taifa
Timu ya taifa ya Tanzania kwa wachezaji wa ndani, ambayo inajiandaa na mchezo wa kufuzu michuano ya CHAN, dhidi ya Sudan, inaendeelea na mazoezi na kocha msaidizi Suleiman Matola amesema kambi ipo katika hali nzuri.

