Makonda awasha moto kwa watendaji Dar es salaam
Mkuu wa Mkoa wa Dar ea salaam Mhe. Paul Makonda ameitisha kikao baina yake na watendaji wa Mkoa huo wakiwemo Wakuu wa Wilaya, Mameya, Wakurugenzi wa Manispaa, Makatibu tawala na wakuu wa Idara ili wamueleze ni kitu gani kinachofanya miradi ya kimkakati ichelewe.

