Serengeti: Wawili wafariki ajali ya ndege Watu wawili waliokuwa wamepanda ndege ya mali ya Kampuni ya Auric Air, wamefariki dunia kufuatia ndege hiyo kuanguka katika Uwanja mdogo wa Ndege wa Seronera uliopo kwenye hifadhi ya Serengeti mkoani Mara. Read more about Serengeti: Wawili wafariki ajali ya ndege