Mbunge Mtaturu atengewa bilioni 2
Serikali kupitia Wizara ya Maji imetenga kiasi cha Shilingi bilioni 2 kwa ajili ya kutatua kero ya maji katika jimbo la Mbunge wa Singida Mashariki, Miraji Mtaturu, baada ya Rais Magufuli kuagiza changamoto hiyo ishughulikiwe mapema.

