Afisa Usalama adakwa na madawa ya kulevya
Mamlaka ya kudhibiti na Kupambana na Dawa za kulevya nchini inamshikilia aliyekuwa Afisa Usalama wa shirika la Posta Tanzania, George Mwamgabe kwa tuhuma za usafirishaji wa madawa ya kulevya kwa njia ya posta.

.jpg?itok=kqC8FelH)