Mwili wa mtoto wa Mkuu wa Majeshi wasafirishwa
Mwili wa aliyekua Rubani wa ndege ndogo ya kampuni ya Auric Air , Nelson Mabeyo ambaye ni mtoto wa Mkuu wa Majeshi Nchini Jenerali Venance Mabeyo, umesafirishwa jioni ya leo kwa helkopta ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania ( JWTZ) kutoka Seronera (Serengeti) kuelekea Dar es Salaam.

