Wahujumu uchumi waongeza kasi kwa DPP
Waziri wa Katiba na Sheria, Balozi Augustine Mahiga amesema maombi ya watuhumiwa ambao ni wahujumu uchumi yamekuwa yakiongezeka tangu Rais Magufuli atoe ushauri kuhusu kuachiwa kwa watuhumiwa wa makosa hayo wakiomba radhi.

