Sabaya aagiza ofisi yake kukatiwa umeme
Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai, Ole Sabaya ameliagiza Shirika la Umeme nchini (TANESCO) Wilayani humo, kukata mara moja umeme katika Ofisi za Halmashauri ya wilaya hiyo baada ya halmashauri hiyo kushindwa kulipa bili ya Soko Kuu la Hai kwa muda wa miezi miwili.

