Hakimu akataa ombi la Mashinji na Matiko

Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Kisutu Dar es salaam, imekataa maombi ya viongozi wawili wa CHADEMA, Katibu Mkuu wa Chama hicho Dkt. Vincent Mashinji, pamoja na Mbunge wa Tarmime Mjini, Ester Matiko.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS