Msigwa amkosoa Hapi, adai ni mtoto
Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa amesema kuwa hana mahusiano mazuri na Mkuu wa mkoa huo, Ally Hapi kwasababu amekuwa akichukulia masuala ya Serikali kuwa ya kibinafsi na kutotambua nafasi yake katika mkoa huo.

