Siri ya ukimya wa Joshua Nassari

Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Kanda ya Kaskazini, kimeeleza chama hicho bado kinashirikiana na aliyekuwa Mbunge wake wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari, na kueleza wala hakijamtenga kwa kuwa alivuliwa Ubunge.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS