DC Kilolo kufanyiwa uchunguzi Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Ally Hapi kufuatilia utendaji kazi wa Mkuu wa Wilaya ya Kilolo, Asia Abdallah kwani hana ushirikiano mzuri na wafanyakazi walio chini yake. Read more about DC Kilolo kufanyiwa uchunguzi