"Kwa siku natwanga bia 38" - Pierre Liquid Pierre Liquid Mchekeshaji maarufu Pierre Liquid amesema kuwa kwa siku anao uwezo wa kunywa bia 38 kwa kuwa ndiyo kinywaji pekee anachokipenda na huwa kinachompa raha. Read more about "Kwa siku natwanga bia 38" - Pierre Liquid