'Mo' atembelea uwanja wa Bunju, atoa ahadi mpya

Mo Dewji akiwa katika ukaguzi wa uwanja

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa klabu ya Simba, Mohammed Dewji ametembelea uwanja mpya wa mazoezi wa klabu hiyo unaojengwa eneo la Bunju Jijini Dar es Salaam.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS