Mchungaji Mashimo aeleza alivyoacha kazi TANROADS
Mchungaji Daud Mashimo amesema kuwa kabla ya kuwa mchungaji aliwahi kufanyakazi katika ofisi ya Wakala wa Barabara nchini (TANROADS), kama mkaguzi wa hifadhi za barabara lakini masuala ya kiutendaji ndiyo yalimfanya aache kazi hiyo.

