Miraji Athuman ni Okwi mpya Simba?

Miraji Athuman

Miraji Athuman (26) ni mshambuliaji mpya wa Simba ambaye anaonesha matumaini makubwa kwa mashabiki wa Simba ya kuziba nafasi ya Emmanuel Okwi ndani ya kikosi hicho kutokana na staili yake ya uchezaji.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS