Kamanda aeleza, jambazi wa muda mrefu alivyouawa

Bastola

Mtu mmoja anayedaiwa kuwa ni jambazi, ameuawa kwa kupigwa risasi  katika majibizano ya risasi na Jeshi la  Polisi, tukio lililotokea majira ya saa 7:30 mchana eneo la Ilala Boma Jijini Dar es Salaam.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS