Magufuli amtumbua bosi wa Tume ya Taifa Uchaguzi

Rais wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo Oktoba 1, 2019 amemteua Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC, Dkt. Wilson Mahera Charles, ambaye awali alikuwa Mkurugenzi wa Mtendaji wa Halmashauri ya Arusha, mwanzoni nafasi hiyo ilikuwa ikishikiliwa na Dkt. Athumani Kihamia.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS