Kauli ya CHADEMA kuhusu Mkurugenzi mpya NEC

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimetoa maoni yake juu ya Mkurugenzi mpya wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Dkt Wilson Charles, na kwamba kwa sasa wamejipanga kushughulika naye kuelekea katika Uchaguzi Mkuu ujao.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS