"Faraja kuona mzigo wa korosho unaondoka" - W/Mkuu
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ametembelea bandari ya Mtwara na kushuhudia shehena ya korosho zilizonunuliwa na kampuni ya Tang Long zikipakiwa katika meli kubwa yenye jina la AS Christiana kwa ajili kusafirishwa kwenda nchini Vietnam.

