Wananchi watakiwa kutupa vyakula, Mbunge aeleza
Mbunge wa Chemba Juma Nkamia, ameeleza katika jimbo lake wananchi wa wanakabiliwa na balaa la njaa, kufuatia baadhi ya Maafisa wa Serikali kuwataka kutupa vyakula, ambavyo vilidaiwa kuwa na ugonjwa wa Sumu Kuvu.

